Shule nyingi zasalia mahame Nairobi siku ya pili ya maandamano

  • | Citizen TV
    2,735 views

    Shule nyingi kaunti ya nairobi zimesalia kufungwa katika siku ya pili ya maandamano ya upinzani, japo serikali ilitoa hakikisho kwa walimu na wazazi kwamba usalama utaimarishwa maeneo ya shule. pita pita zatu katika maeneo ya nairobi na kisumu ziliaashiria kuwa wazazi wengi hawakuwaruhusu watoto wao waende shuleni kwa hofu kuwa maandamano yangesababisha machafuko