Muungano wa Azimio wailaumu serikali kwa kuwakamata viongozi

  • | Citizen TV
    3,839 views

    Muungano wa Azimio umeilaumu serikali kwa kuwakamata viongozi wake kinyume na katiba. wakiongozwa na kiongozi wa wachache bungeni Opiyo Wandayi, wabunge wa azimio wamesema kuwa wataendelea na maandamano hapo kesho na kuitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati mzozo uliopo nchini.