Mbunge wa Embakasi East Babu Owino afikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    2,575 views

    Hatimaye mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amefikishwa mahakamani kushtakiwa baada ya kukamatwa Jumanne alipowasili kutoka Mombasa.