Vuta nikuvute kati ya wabunge wa Taita Taveta na gavana Andrewa Mwadime yaendelea

  • | Citizen TV
    296 views

    Siku chache tu baada ya bunge la kaunti ya Taita-Taveta kutaka kuondolewa kwa maafisa wanne waliotuhumiwa kuhusika na ufujaji wa wa shilingi milioni 4 wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya vita vikuu vya kwanza mwaka jana, gavana andrew mwadime anasema kuwa atapitia ripoti iliyowasilishwa na bunge la kaunti hiyo na kuhakikisha kuwa sheria imefuata mkondo wake. Mwadime anasema kuwa atakabili ufisadi kwenye serikali yake.