Seneta Stewart Madzayo akashifu kukamatwa kwa viongozi wa Azimio

  • | Citizen TV
    837 views

    Kiongozi wa wachache katika bunge la seneti Stewart Madzayo ambaye pia ni seneta wa kilifi ameishtumu serikali kwa jinsi inavyokabili maandamano nchini. Madzayo amekashifu vikali kitendo cha kukamatwa kwa mbunge wa kilifi kusini ken chonga pamoja na spika wa bunge la kaunti ya kilifi teddy mwambire akisema kuwa viongozi hao wawili wana haki ya kuongoza maandamano ya amani.