Uhaba wa walimu Busia wachangia hali duni ya masomo

  • | Citizen TV
    353 views

    Ukosefu wa walimu wa kutosha na kiwango cha juu cha umasikini katika kaunti ya Busia ni maswala ambayo yanachangia pakubwa matokeo duni katika kaunti hii ya mpakani. Haya yaliibuka katika mkutano uliowaleta pamoja wabunge wa kaunti ya Busia, washikadau katika sekta ya elimu pamoja na makamishna kutoka tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC.