Polisi wadaiwa kuwajeruhi wakazi wakiwa nyumbani mwao

  • | Citizen TV
    3,154 views

    Waathiriwa wa ukatili wa polisi mjini Kisumu sasa wanadai haki, baada ya makumi ya watu kujeruhiwa walipoandamwa na polisi katika nyumba zao. Kulingana na wakazi wa mitaa ya viungani mwa jiji la Kisumu, maafisa wa polisi waliwavamia Ijumaa wakidai kuwa wanatafuta wahuni waliokuwa wakishiriki maandamano