Mwanablogi Pauline Njoroge akamatwa watamu, Kilifi

  • | Citizen TV
    4,760 views

    Mwandishi wa mitandaoni anayetambulika kwa maandishi ya kukashifu serikali, Pauline Njoroge anahojiwa na maafisa wa polisi katika eneo la watamu kaunti ya Kilifi.