Chama cha mawakili nchini chasema kitawawakilisha majeruhi

  • | Citizen TV
    730 views

    Chama cha mawakili nchini LSK kimeahidi kuwawakilisha majeruhi wa maandamano dhidi ya serikali katika kaunti ya Kisumu. Akizungumza katika kikao na wanahabari, mwenyekiti wa muungano huo katika tawi la Kisumu Dorcas Oluoch amesema tayari watu ishirini wameandikisha taarifa kuhusu matumizi ya nguvu kupita kiasi wakati wa maandamano ya wiki hii.