Viwavi wanaouma watu wavamia msitu wa Kapsoya, Eldoret

  • | Citizen TV
    725 views

    Wakazi wa kapsoya eneo la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu wanaishi kwa hofu, baada ya viwavi hatari kuingia ndani ya msitu na kuharibu miti kwenye ekari zaidi ya 200. Wadudu hao ambao hawajawahi kuonekana eneo hilo ni hatari kwa binadamu ,kwani akikuangukia anang'ata mwili na kukatalia hapo na anasababisha uchungu mkali.