Viongozi wa Kanisa la Methodist wataka mazungumzo nchini

  • | Citizen TV
    383 views

    Viongozi wa kanisa la Methodist nchini wamemtaka kiongozi wa Azimio, Raila Odinga kutumia njia ya mazungumzo kuwasilisha matakwa ya wananchi kwa serikali.