Asasi za kiraia zataka serikali ya kaunti ya Migori kuimarisha uwazi kuhusu bajeti

  • | Citizen TV
    183 views

    Asasi za kiraia katika kaunti ya Migori( Migori County Civil Societies Organisation -CSOs) kupitia baraza lao linaitaka serikali ya kaunti ya Migori kuimarisha uwazi kuhusu mchakato wa kuandaa bajeti ya kaunti na utekelezaji wake.