Mradi wa maji katika shule ya Kamtonga kaunti ya Taita Taveta wafanya wanafunzi warejee shuleni

  • | Citizen TV
    348 views

    Baada ya kukamilika kwa mradi wa kisima cha maji katika shule ya msingi ya Kamtonga kaunti ya Taita Taveta , idadi ya wanafunzi wanaohudhuria masomo imeimarika. Mradi huo uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 15 huku matokeo bora ya mitihani yakinakiliwa.