Kadhi mkuu mpya Athman aliapishwa na jaji Mkuu Martha Koome

  • | Citizen TV
    339 views

    Hatimaye kadhi mkuu mpya jana alikula kiapo mbele ya jaji mkuu Martha Koome katika mahakama ya upeo.