Raia sita wa Uchina wafikishwa mahakama ya Vihiga

  • | Citizen TV
    315 views

    Raia sita wa Uchina akiwemo mwanamke mmoja na wanaune watano wamefikishwa katika mahakama ya Vihiga kwa mashtaka mbali mbali ikiwemo kuendeleza shughuli za uchimbaji migodi katika eneo la Kitigu bila leseni.