Watu wajeruhiwa baada ya askari kuwataka waondoke eneo lililotengewa ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    110 views

    Watu kadhaa walijeruhiwa baada ya askari wa kaunti ya Busia kukabiliana na wafanyibiashara katika soko la posta mjini Busia, askari hao wakiwataka waondoke katika eneo lililotengwa kwa ujenzi wa barabara.