Kaunti ya Siaya yapewa dawa na WHO kuangamiza kichocho

  • | Citizen TV
    54 views

    Kaunti ya Siaya imepokea tembe zaidi ya laki tisa ya dawa aina ya Mebendazole na nyingine elfu 34 ya aina ya Praziquantel