Mawaziri walioko chini ya serikali ya Kenyakwanza watia sahihi kuthibitisha utendakazi serikalini

  • | Citizen TV
    70 views

    Mawaziri walioko chini ya serikali ya Kenyakwanza leo wanatia sahihi mikataba yao ya utendaji kazi katika ikulu ya Nairobi. Shughuli hii inaongozwa na Rais William Ruto na imewaleta pamoja mawaziori wote na makatibu. Mikataba hii inaashiri uwajibikaji wa mawaziri katika majukumu waliokabidhiwa. Aidha mikataba hii inatazamiwa kutoa muongozo wa jinsi kila wizara itatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia bajeti iliyopitishwa. Tueleke ikulu kufuatilia yanayojiri