Baadhi ya wanafunzi walalamikia kozi zao

  • | Citizen TV
    900 views

    Baada ya taasisi inayotoa nafasi kwa wanafunzi kujiunga na vyuo vya masomo ya juu kutangaza muongozo kwa wanafunzi 285, 000 waliofaulu kujiunga na vyuo hivyo, malalamishi yameanza kuibuka. Baadhi ya wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa kcse wamedai kuwa licha ya kuwa miongoni mwa wanafunzi bora nchini wamekosa nafasi katika vyuo vikuu na kuwekwa katika vyuo anuwai