Rais William Ruto akariri nia ya mazungumzo

  • | Citizen TV
    8,077 views

    Rais Ruto amekariri kuwa hataruhusu siasa za fujo, uharibifu wa mali na vifo kwa sababu ya mashindano ya kisiasa. Ruto amesisitiza kuwa yuko tayari kwa mazungumzo akihimiza sheria kufuatwa na vurugu kukoma