Maafisa wa serikali watia saini mikataba ya utendakazi

  • | Citizen TV
    1,544 views

    Rais William Ruto ameshuhudia kutiwa saini kwa mikataba ya utendakazi wa mawaziri na makatibu wao katika Ikulu ya Nairobi. Rais alisema kutiwa saini kwa mkataba huo ni kama ahadi ya kutekeleza wajibu wao na majukumu waliyopewa kwa umma