Mhubiri mmoja na mkewe wakamatwa baada ya kumdhulumu mama mwenye umri wa miaka 61

  • | Citizen TV
    522 views

    Mhubiri katika eneo la Mukuru Kwa Njenga eneo bunge la Embakasi Mashariki pamoja na mkewe wamekamatwa baada ya kumdhulumu mama mmoja mwenye umri wa miaka sitini na moja baada ya kuletwa kwake ili kumtibu.