Shirika la msalaba mwekundu laweka warsha ya siku tatu kuzungumzia afya za kiakili

  • | Citizen TV
    114 views

    Shirika la msalaba mwekundu hii Leo wameweka warsha ya siku tatu ikianza Leo hadi siku ya ijuma, warsha hii inafanyika katika kaunti ya Nakuru ikileta pamoja wanahabari wa kaunti za Nakuru na Kericho ili kuzungumzia Afya zao za kiakili kutokana na majukumu yao ya kikazi wanazotekeleza haswa wakati wa majanga yanayohuzisha vifo vya halaiki haswa wale waliofanya kazi wakati wa mkasa wa Londian mwezi Jana.