Mama mmoja alilia haki ya mtoto wake aliyegongwa na lori la taka

  • | Citizen TV
    176 views

    Mama mmoja analilia haki baada ya mtoto wake kufariki eneo la Mayungu kaunti ya Kilifi alipogongwa na lori la taka.