Waziri wa usalama Kithure Kindiki aeleza mikakati ya usalama wa walimu Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    454 views

    kamati ya bunge kuhusu elimu inamhoji waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki kuhusu mikakati ya usalama wa walimu katika maeneo ya kaskazini mwa kenya.