- 4,258 viewsDuration: 3:36Baaadhi ya mawakili wameandaa maandamano ya amani hapa jijini nairobi kutokana na mauaji ya mwenzao wakili matthew kyalo Mbobu. Mbobu aliuawa kwa kupigwa risasi nane shingoni kwenye barabara ya ngong hapa jijini nairobi siku ya jumanne.