Mafunzo ya huduma ya kwanza yatolewa shuleni na kwenye mashirika na kampuni

  • | Citizen TV
    193 views

    Shule za msingi na za sekondari pamoja na mashirika na kampuni mbali mbali zimetakiwa kuendelea kutoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wanafunzi na wafanyikazi ili kujitayarisha na majanga yanayoweza tokea mashuleni na kazini.