Makao ya waathiriwa wa dhuluma za kijinsia yajengwa Mombasa

  • | Citizen TV
    228 views

    Jaji mkuu Martha Koome amewataka wakenya kukabiliana vilivyo na dhulma zote za kijinsia nchini Kwa minajili ya kulinda haki ya kila mtu katika jamii .