12 Sep 2025 10:29 am | Citizen TV 914 views Duration: 2:08 Ripoti ya upasuaji wa mwili wa mwanafunzi wa chuo kikuu Faith Kemunto aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa kule Nyamira, imethibitisha kwamba msichana huyo mwenye umri wa miaka 20 aliuliwa kwa kunyongwa.