12 Sep 2025 10:34 am | Citizen TV 4,366 views Duration: 1:40 Moto umezuka katika shule ya upili ya wasichana ya Mumbuni mjini Machakos na kuteketeza mali ya wanafunzi pamoja na vitanda ndani ya sehemu ya bweni moja .