12 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 266 views Duration: 3:16 Mfumo wa Elimu nchini unaposhuhudia mabadiliko makubwa kutoka CBC Hadi CBE,wadau wa Elimu wanapendekeza utumizi wa akiliunde katika kufanikisha mtaala huo hasa katika maeneo yaliyosalia nyuma kimaendeleo.