Mbunge wa Teso Kusini Mary Emase ahojiwa na maafisa wa DCI kuhusu matamshi ya chuki

  • | Citizen TV
    1,926 views

    Mbunge wa Teso Kusini Mary Emase anahojiwa katika makao makuu ya DCI kufuatia matamshi yanayokisiwa kuwa ya uchochezi.Mbunge huyo alinukuliwa akitishia waalimu wanaotarajiwa kuajiriwa katika eneobunge lake akisema kuwa ni sharti wawe wazaliwa wa eneo hilo la sivyo hawatokubaliwa.