12 Sep 2025 10:43 am | Citizen TV 255 views Duration: 2:04 Kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na taasisi ya mafunzo ya maridhiano Afrika Mashariki imeshuhudia kuzinduliwa kwa kituo cha kwanza cha maridhiano nchini, kwa lengo la kupunguza mrundikano wa kesi mahakamani.