- 221 viewsDuration: 1:34Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Umma, Nancy Gathungu, ameilaumu serikali ya kitaifa na zile za kaunti kwa kushindwa kutekeleza mapendekezo ya ukaguzi, akionya kuwa hali hiyo inahatarisha uwajibikaji na utoaji bora wa huduma kwa wananchi.