Visa vya kughushi stakabadhi za usafiri na ulanguzi wa dawa za kulevya vyaongezeka nchini

  • | Citizen TV
    167 views

    Visa vya kughushi stakabadhi za usafiri vimeongezeka kwa asilimia arubaini na kuiweka nchi hii katika hatari ya mashambulizi kutoka nchi za nje huku visa vya ulanguzi wa dawa za kulevya vikiongezeka kwa asilimia 21.