Rais William Ruto atetea sheria ya fedha 2023

  • | Citizen TV
    3,128 views

    Rais William Rutio ametetea hatua ya serikali yake kuongeza ushuru katika sheria ya fedha iliyopitishwa na bunge. Rais akizungumza katika Ikulu Ndogo ya Sagana kaunti ya Nyeri, amesema nia yake ni kuongeza mapato nchini na kupunguza mazoea ya kukopa pesa kutoka kwa mataifa mengine.