Wanafunzi waliokosa kuteuliwa baada ya kulipa karo kusomea Ughaibuni wadai kurejeshewa hela zao

  • | Citizen TV
    961 views

    Wanafunzi na wazazi waliolipa karo yao ya kujiunga na vyuo mbalimbali nchini Finland na Kanada lakini hawakuitwa katika vyuo hivyo, hii leo watakutana na viongozi wa kaunti ya Uasin Gishu akiwemeo gavana Jonathan Bii na Senata Jackson Mandago kujadiliana ni vipi watarudishiwa pesa zao. Baadhi ya Pesa za wanafunzi hao zilitumiwa kuwalipia wanafunzi walioitwa kanada na Finland lakini hawakukuwa na pesa.