Wakazi wa eneo la Pokot Magharibi wapanda miti kuzuia maporomoko ya ardhi

  • | Citizen TV
    54 views

    Baada ya idara ya utabiri wa hali ya hewa kutoa ripoti kuwa taifa litapokea mvua nyingi, wakazi katika maeneo yaliyokabiliwa na maporomoko ya ardhi mwaka 2019 eneo la Pokot Magharibi wameanzisha harakati za kukabiliana na uharibifu wa misitu ambayo ilichangia pakubwa janga hilo. Collins shitiabayi na taarifa hiyo.