Mipango yakuupandisha Mji wa Eldoret kuwa jiji kuu yaendelea bunge la seneti

  • | Citizen TV
    65 views

    Mipango yakuupandisha Mji wa Eldoret kuwa jiji kuu inaendelea huku wakazi na viongozi wakiwa na matumaini makubwa kuwa bunge la seneti lita pitisha mapendekezo hayo. John Wanyama ako na mwenyekiti anaesimamia mipango hiyo na Tito Koiyet kwa mengi zaidi