Shule mbili za msingi mjini Bungoma zinaomboleza baada ya Wanafunzi wawili kufa ajalini
Hali ya huzuni imetanda katika shule ya msingi ya bungoma na moi deb eneo bunge la kanduyi baada ya wanafunzi wawili kuaga dunia papo hapo kwenye ajali iliyohusisha trela na pikipiki kwenye barabara kuu ya bungoma kuelekea mumias.
Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu eric lumbasi nelphis wekesa mwenye umri wa miaka 13 na mhudumu wa bodaboda walionusurika kifo wanaendelea kutibiwa katika hospitali ya rufaa ya bungoma huku dereva wa trela hilo akiuawa na wananchi wenye hamaki
5 Aug 2025
- The feature is set to revolutionalise how the messaging platform works.
5 Aug 2025
- The products have grown in popularity among women.
5 Aug 2025
- Details required to register a car in Kenya.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
6 Aug 2025
- Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
6 Aug 2025
- A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
6 Aug 2025
- Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
6 Aug 2025
- Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
6 Aug 2025
- Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
6 Aug 2025
- The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
6 Aug 2025
- MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'
6 Aug 2025
- If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose