Tume ya SRC yatangaza nyongeza kwa wafanyakazi

  • | Citizen TV
    2,060 views

    Tume ya mishahara nchini imetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa umma, huku Rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua wakikosa kwenye orodha ya wafanyakazi wa umma walioongezwa mishahara. Kwenye nyongeza hii, wafanyakazi wa umma watapata nyongeza ya kati ya asilimia saba na kumi katika muda wa miaka miwili ijayo.