Mazungumzo ya serikali na upinzani vimeanza rasmi leo katika ukumbi wa Bomas

  • | Citizen TV
    2,747 views

    Mazungumzo kati ya serikali na upinzani yameanza kwenye ukumbi wa Bomas, huku pande zote zikiafikiana kuendesha mazungumzo hayo bila mvutano. Kikao cha leo kikitumika kupanga mikakati ya namna mazungumzo hayo kati ya Kenya Kwanza na Azimio yatakavyoendeshwa