Wazazi na wanafunzi Uasin Gishu waliohadaiwa waandamana

  • | Citizen TV
    1,545 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchinI EACC imetoa hakikisho kwa wazazi na wanafunzi walioathirika kwenye sakata ya elimu ya juu kaunti ya Uasin Gishu kuwa wanakamilisha uchunguzi wao karibuni. EACC imetoa hakikisho hili kwa wazazi na wanafunzi walioandamana hadi ofisi za tume hiyo mjini Eldoret kutaka majibu kuhusu sakata hiyo iliyozua hisia kwa waathiriwa siku za punde.