Wakazi wa kijiji cha Ndeu Kaunti ya Lamu walalamikia changamoto za kukosa umeme

  • | Citizen TV
    169 views

    Wakazi wa kijiji cha Ndeu Kaunti ya Lamu wanalalamikia changamoto za kukosa kuunganishiwa umene licha ya kuwa na stesheni ya kusambaza umeme KENGEN katika kijiji hicho. Kulingana na wakazi hao, umeme wa KENGEN umesambazwa katika maeneo mbalimbali ya kaunti  ya Lamu ikiwemo Hindi,Mpeketoni,Kisiwa cha Amu, ila wao hawana nguvu za umeme kama anavyoalifu Rahma Rashid.