St. Anthony Kitale ikiwakilisha Bonde la Ufa imeilaza Shanderema bao moja kwa bila

  • | Citizen TV
    2,518 views

    St. Anthony kitale ikiwakilisha bonde la ufa imeilaza shanderema bao moja kwa bila na sasa itakutana na mshindi kati ya Dagoretti na Agoro sarewchi. mechi hiyo inaendelea kwa sasa. Wasichana wa shule ya Butere kutoka Magharibi watamenyana na wiyeta ya bonde la ufa.