Mwanaume ashtakiwa kwa kuwajeruhi wanawe Busia

  • | Citizen TV
    376 views

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa makamo kutoka mtaa wa cool-inn eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia amefikishwa mahakamani kwa madai ya kuwapiga na kuwajeruhi wanawe wawili wa kambo .