Baraza la usalama Narok lataka bunduki haramu zirejeshwe

  • | Citizen TV
    330 views

    Baraza la usalama kaunti ya narok limetoa makataa ya wiki moja kwa wenyeji wa Lolgorian Transmara kusini kurejesha bunduki zisizo halali.