Wabunge wa Azimio wasema watawasilisha hoja ya kumtimua

  • | Citizen TV
    8,451 views

    Muungano wa azimio sasa unatishia kuwasilisha hoja la kumuondoa ofisini Inspekta Jenerali wa polisi Japhet Koome kufuati mauaji ya waandamanaji wiki mbili zilizopita. Katika ibada ya wafu eneo bunge la Bondo kaunti ya Siaya kinara wa Azimio Raila Odinga ameyataka maataifa ya kigeni kuangazia swala la ukandamizaji wa haki za kibinaadamu nchini.