Waathiriwa wa bomu la mwaka wa 1998 wasubiri fidia hadi leo

  • | Citizen TV
    345 views

    Serikali ya Kenya imetakiwa kutumia uhusiano mwema baina yake na Marekani kuhakikisha kuwa wakenya waliothirika na mashambulizi ya kigaidi katika ubalozi wa Marekani mwaka wa 1998 wamepata fidia. Mawakili wa waathiriwa hao kutoka marekani wamesema Rais William Ruto ana jukumu la kuzungumza na mwezake wa marekani ili sheria nchini humo ya kupata pesa za waathirwa wa ugaidi iweze kurekebishwa na kuongeza wakenya walioathirika wakati huo.