Zaidi ya washiriki 15,000 watarajiwa kuhudhuria kongamano la ugatuzi 2023 mjini Eldoret

  • | Citizen TV
    196 views

    Kongamano la ugatuzi linaanza hii leo mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Rais William Ruto anatazamiwa kufungua rasmi Kongamano hilo hapo kesho. Tayari washiriki wameanza kuwasili mjini humo.